Hivi vitoto noma kweli

Kha John cena utatuharibia wanetu bana.
Jamani haya mambo mengine yahitaji uangalizi wa wazazi vinginevyo vitoto vitaanza kutwangana risasi live
 
hawa watoto pasua kichwa
sijui mapacha hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…