Hivi vitisho vya Lowasa ni kweli?!!

Mimi nafikiri hiyo ni wrong campaign!

Ingevutia zaidi na kuongeza wafuasi kama angesema kwamba AKICHAGULIWA KUWA RAIS WA JMT basi atamleta Balali akiwa hai! Hapo I'm sure angewapata Watanzania wengi.
 

Kwanza Lowassa anatakiwa akamatwe na serikali aseme hizo taarifa za balali kuwa hai amezipata wapi? Aende kuonesha sehemu alipo.

Huyu hawezi kutishia watu wazima, na CCM wakimuacha basi tutajua tuna mfumo mbovu kabisa.
 
Haka ka nchi bora hata kangepewa Kenya!
Eti Lowasa nae ni Kichwa!! Maajabu kweli kweli.
 
Lowasa anatakiwa afanye vitu bila kusikilizia viongozi wake watajibu nini, ninahisi ana vitu vingi moyoni kuhusu kashifa na ufisadi mkubwa hapa nchini ila anahofia kuvisema kwani anaweza kukatwa jina, sasa ndo maana anatishia kuyaweka hadharani maovu hayo. Kwake anayachukulia km mtaji kisiasa.

Swali. Kwa nini asiwe muwazi mpaka asubiri akatwe jina? Kumbe anaficha madudu, basi na yeye anahusika.
 
Ni kweli
 
acha akatwe ili pachimbike
mm nilisikia kuwa akikatwa ni Mgimwa


kwa hisani ya
Jackbauer
 
labda ni free mason anaweza kuwafufua walikufa,nguvu za kinigeria bado zinampa kiburi
 

je nakunyonyoa ngozi watu atakusema ? TUNAJUA MENGI ASIONE TUMEKAA KIMIA AKAZANI NI WAJINGA>
 
Mie nahofia kama atabaki salama kiafya
 
mimi nafikiri hiyo ni wrong campaign!

Ingevutia zaidi na kuongeza wafuasi kama angesema kwamba akichaguliwa kuwa rais wa jmt basi atamleta balali akiwa hai! Hapo i'm sure angewapata watanzania wengi.

no atueleze walionyonyolewa ngozi kwanza ,mungu akawaonya ndo amfate balali
 
Ivi mpaka uropoke kiasi gani ndo upewe adhabu na CCM,au ni ukoo kambale wote madevu
 
Laana ya Dr Salim ikawarudie wooote waliomchafua mzee wa watu mpaka akakosa urais. Hivyo na badoooooooooo, kufa watakufa, kuchanganyikiwa, kuhama nchi, kufungwa na kupata kiarusi!!!! MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Uchaguzi wa mwaka huu una msisimko wa kipekee sana,wagombea wamejinadi vizuri kiasi kwamba kunakuwa na kiwewe cha nani atakuwemo na nani hatakuwemo,ingawa wengine ni dhahiri kuwa wanapoteza muda tu.Cha muhimu tusijefikia mahali tukapigana wenyewe kwa wenyewe kisa tunapigania madaraka.
 
Dah mnaumia na inaonyesha hata siku akiwa anaapishwa mtakuwa bize na uzushi wenu kama huuu.
 

TUMCHAGUE HUYU JAMAA COZ ANAUCHUKIA UMASIKINI SIKILIZA VIDEO YAKE HAPAEDWARD .N. LOWASSA AKICHUKIA UMASIKINI, 27/06/2015 DAR ES SALAAM ALIPATA WADHAMINI ZAIDI YA LAKI 2 MSIKILIZE HAPA!! | KANDA YA KATI BLOG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…