Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,196
- 138,553
Tumekuwa tunasikia tetesi nje na ndani ya Jamiiforums kuwa kuna kitirho anakitoa Lowasa ikiwa jina litakatwa CCM.Vitisho ni vingi ikiwa pamoja na kulingishia umati wa watu na wadhamini rundo.Ila kitisho kinachonitia hofu mimi ni hilo linalosemwa sana ya kwamba ikiwa Lowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?
mkate muone
Tuombe asubuhi na mchana akatwe ili aonyeshe wema na ushuja wake kwa watanzania
Wakate jina ccm halafu timbwili lianze.
Tumekuwa tunasikia tetesi nje na ndani ya Jamiiforums kuwa kuna kitirho anakitoa Lowasa ikiwa jina litakatwa CCM.Vitisho ni vingi ikiwa pamoja na kulingishia umati wa watu na wadhamini rundo.Ila kitisho kinachonitia hofu mimi ni hilo linalosemwa sana ya kwamba ikiwa Lowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?
Who is lowasa kama unaona sura yake nzuru kanywe nae chai