tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,425
- 4,774
We hujasikia wamemteka kwa lengo la RANSOM lakini wakapagawa wakamwambia Mo aongee na familia kuhusu matakwa yao "akawaambia ongeeni nyinyi bana si dili yenu"....wakapagawa wakamuachia mpaka silaha zenye thamani ya milioni tisa. Kisomo hicho!Mara nyingi nimeona matukio kadhaa ya watu kutishiwa kufanyiwa KISOMO. Juzi wamefanyiwa KISOMO waliomteka MO, lakini mpaka sasa hawajapatikana. Huwa najiuliza hiki KISOMO kimeshawahi mvua nguo mtu?
kuwa na flying squad kama Kenya
apo Mimi sio muislamu lakini naamini visomo vinafanyakaz
Si unaona walivyochanganya mafaili?Mara nyingi nimeona matukio kadhaa ya watu kutishiwa kufanyiwa KISOMO. Juzi wamefanyiwa KISOMO waliomteka MO, lakini mpaka sasa hawajapatikana. Huwa najiuliza hiki KISOMO kimeshawahi mvua nguo mtu?
Sura imekuwa kama ngozi ya korodani.Mwombe mzee Lyatonga akupe ushuhuda
unazungumzi chadema hii inayokumbatia mafisadiii.na kuwasafisha..au ipi...DOUGLAS SALLU Tusameheane haya ni mambo ya siasa tu najiunga na ﹰChadema.
Tutaisafisha trust me!unazungumzi chadema hii inayokumbatia mafisadiii.na kuwasafisha..au ipi...
Kabla ya kisomo hicho uliwahi kuuona upara wa Mambosasa ?
Hata yule wa 1.5 wanaweza msafisha akijivua gambaunazungumzi chadema hii inayokumbatia mafisadiii.na kuwasafisha..au ipi...