hivi viongozi wa CCM wan ugonjwa wa usahaulifu(Amnesia0

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,772
4,642
habari zenu wana JF nimeshangaa sana leo wakati naangalia kipindi cha bunge kuona mbunge wa Lushoto bw. Shekifu eti akiishauri serikali kuanzisha mpango wa train iendayo kasi ili kukuza uchumi,
ni hawa hawa CCM kipindi cha kampeni walio crash hoja ya DR. SLAA kuhusu mpango wa kuanzisha train iendayo kasi wakisisitiza kuwa train ziendazo kasi haziwezekaniki TZ.
my take iweje leo wapuuzi hawa hawa wajidai wanishauri serikali juu ya train iendayo kasi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…