hivi viongozi wa CCM wan ugonjwa wa usahaulifu(Amnesia0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi viongozi wa CCM wan ugonjwa wa usahaulifu(Amnesia0

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mikatabafeki, Feb 11, 2011.

 1. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  habari zenu wana JF nimeshangaa sana leo wakati naangalia kipindi cha bunge kuona mbunge wa Lushoto bw. Shekifu eti akiishauri serikali kuanzisha mpango wa train iendayo kasi ili kukuza uchumi,
  ni hawa hawa CCM kipindi cha kampeni walio crash hoja ya DR. SLAA kuhusu mpango wa kuanzisha train iendayo kasi wakisisitiza kuwa train ziendazo kasi haziwezekaniki TZ.
  my take iweje leo wapuuzi hawa hawa wajidai wanishauri serikali juu ya train iendayo kasi?

   
Loading...