Hivi UTI ni Ugonjwa Mpya au ni Jina tu Limebadilika?

UTI ni kifupi cha maneno URINARY TRACT INFECTION
Ni maambukizi kwenye njia ya mkojo na jinsia zote mbili tunaweza kupata haya maambukizi.
Zamani walikuwa hawauhesabu kama ugonjwa ila ni maambukizi tu ila kutokana na mabadiliko ya mitaala ndo wakaamua kuutambua kama ni ugonjwa ila zamani ulikuwa ukionekana na UTI daktari anakwambia una mkojo mchafu
Vipi kuhusu maambukizi ya Kisonono, kaswende na Gono nayo huesabika kama UTI?
 
Back
Top Bottom