Hivi utakuwa na team ngapi?

Ukimwi ugonjwa rafiki. Piga vita kansa presha na kisukari. Usisahau, malaria haikubaliki!!!!!!

Vyote kwa pamoja sawa eeh bazazi mzinzi uliyekomaa.
Nimekumiss babu Asprin upo?
 
Mi na wewe hatuezi malizana mpaka ziraili atufanyie unaa, au ukiolewa na janaume lenye wivu kama Museveni keimamae zake.

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we baby wa chalinze utanivunja mbavu lol.
ndio maana nakupenda
 

Kumiliki kadi mbili mbili nadhani ni mtindo wa kisasa.

Nadhani ulishawaki sikia mtu mmoja hivi maarufu kule kenya, yeye anamiliki kadi ya chama cha kaki na kadi ya chama cha kijani na hakuna anaye muuliza.

Ambao hawako kwenye ndoa wanaweza wakawa marafiki au wapenzi, ni maamuzi yao tu, ila walioko kwenye ndoa they are limited totaly to marriage only.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…