mwallu
mbona waguna tena..?
Yaani babe Passion Lady nashangaa
Ruttashobolwa alivyoingilia nyumba yangu
mie..
​basi miss neddy kazi anayo!!
nashangaa tu hapa
miss neddy njoo huku
nani tena huyo anawasha taa bana??
hebu endelea na kazi mamii..! qulaleki!!
hahahaha si nkweo huyo yaan ndo nianze uuupya
hawa wakwe nao usiku usiku? khaa!!
Mi nadhani tuanzishe yetu tuiite #TeamMAHABA . Chapchap sana.
hahahahaha atakuwa na njaa tu huyu
sogea kipenzi niendelee kukumasaji
hebu ruka twendelee na #teammasaji bana!
baada ya hapo twende na #teamkuoga !
leo ni tim mwanzo, kati mwisho!
Hebu fafanua hapo kwenye kifungu d.. starehe zembe ndo ipi hiyo Lady niece..?
ekzaktile!hahaha umeona eeeeeeh
ninapokumasaji utoe ishara kama performance ni nzuri au lah
Hebu fafanua hapo kwenye kifungu d.. starehe zembe ndo ipi hiyo Lady niece..?
ekzaktile!
endelea kuchekecha mpaka wajisikie kiu!!
sisi niko hapa kunani