teamrafiki ni team ambayo inajenga amani mshikamano
upendano zaidi, na kuhudumiana, hata kujaliana pia
inalenga uhuru wa mtu kufanya vile atakavyo ila kwa masharti
fuilani ya team hii, sijui mpaka hapo kama umenielewa vyema
i beg your pardon...........!?!!??!
uingie team gani tena!!!
Nimekuelewa ila hapo kwenye masharti filani ya team ndo pananitisha Lady niece.. Ufafanuzi zaidi wa hayo masharti..
Subiri mama watoto.. inawezekana ikawa saccos hii tukapata hela za watoto wetu kuanza vidudu miaka minne ijayo..
Halafu Ruttashobolwa wanikumbusha ile hadithi ya fisi na mkono wa binadamu.. Paloma katu hatanisaliti hata kidogo..
masharti ni madogo madogo sana kama yafuatayo:-
a) usiwe mtu unayetumia sigara na pombe
b) usiwe mtu unayependa kutenda dhambi
c) usiwe mtu ambaye ni mchoyo wa kupindukia
kila ukiombwa wewe unabania
d) usiwe mtu wa kupenda anasa na starehe zembe
e) usiwe mtu mwenye mazoea mabaya kwa member wenzako
mjengoni hapa na kuwatolea lugha utumbo.
f) usiwe mwepesi wa kumnong'oneza jirani yako umbeya usistahili
na mengineyo yafananayo na hayo
sasa hayo ni masharti magumu si mepesi kabisa mkuu
Hebu fafanua hapo kwenye
kifungu d.. starehe zembe ndo ipi hiyo Lady
niece..?
kiufupi usiwe mtu wa michepuko..uwe na mpenzi/mke anaeeleweka sio leo kwa huyu kesho yule...inshort #teamRafiki iko kimaadili zaidi
jamani kunani tena!!
hata mimi sina timu babe Paloma!!
nashangilia tu!!ukiskia usiniumizieeee
ujue ni mimi!!cc Ruttashobolwa, sosoliso!!
Excel analijua hilo!!
hahahaaaa!! mkuu angalia mkuki kwa nguruwe! Passion Lady nawe atapewa kizizi na kidume kingine ubaki kulia!
kwanza amekubali kuwa na Paloma?
sosoliso ameshindwa kutimiza majukumu yake hivyo nimeamua kumpora mke.
Hivyo kuanzia leo Paloma ni akanana wangu na Passion Lady ndiye kanana mkubwa.
jamani kunani tena!!
mbona nastuliwa kutoka mzigoni aisee!! starehe zetu zihesmiwe! lolz!
mzigoni saa hizi
au ni yale yale ya mama mwita
acha kusonga riugari njoo nikurengeee??!!heheee!!
hata mimi sina timu babe Paloma!!
nashangilia tu!!ukiskia usiniumizieeee
ujue ni mimi!!cc Ruttashobolwa, sosoliso!!
Excel analijua hilo!!
babe sosoliso huyo we muache
njoo na sie tufanye yetu!!
nikubali wapi?anipe
talaka yangu tu nijimuvuzishe
kwa sosoliso mie!!staki presha!!
nani akushee wewe baby ake na mimi?aaakhaaa
nataka talaka yangu!! Baba V tafadhali!!
​basi miss neddy kazi anayo!!hahahaaa!! sasa kama nguvu za kiume tunazo...
hiyo si ndio kazi yake?
Babe
Passion Lady huu ni uamuzi wako wa busara
zaidi kuliko mwingine wowote uliouwahi kuutoa.. Baba
V tafadhali fanya yanayotakiwa hapa..
Babe Passion Lady huu ni uamuzi wako wa busara zaidi kuliko mwingine wowote uliouwahi kuutoa.. Baba V tafadhali fanya yanayotakiwa hapa..
mwallu mbona waguna tena..?mmmmmmhhhhhhh
kwa hiyo kumbe kweli
wapo na mkeo?basi iwe vise vesa tu
walijifanya marafiki,oooh shemeji kumbe wanazima taa!!