HIVI UTAKUAJE WAKISEMA UKIFANIKISHA KUKAMATWA KWA MDAIWA SUGU UNAPOZWA?

masengobangu

Senior Member
Feb 25, 2014
127
131
Kama kungekuepo zawadi nono mbona tungeuzana sana,mfano waseme ukifanikisha kukamatwa kwa mdaiwa sugu unapewa laki mbili.......ha ha ha mjini tungebaki wachache
 
Kwani wanawakamata?
..
Kwa kosa gani?
...
Then wanawapeleka wapi?
...
Watangaze tu kuwa ambaye kapewa mkopo na haaki kulipa arudishe vyeti . Wengi watarudisha mavyeti ya chuo ukichukulia ajira wanapeana wenyewe watoto wa mashemeji zao na mkuu sasa hivi anateua tu watu wanaompigia makofi wengine kufeni huko.
 
Back
Top Bottom