Hivi utajuaje demu ameku feel?

ka.........,utjua kama imo..
Khaaaaaa,usituambiege izo habari humu......
 
Umeajiandikisha ku=reseat kituo gani mtoto? Swali lile la mazingira ulijibu je? Soma kwanza ufaulu ndipo urudi mwaka kesho kutwa!!
 
Sasa demu alivyokwambia kwa ujasiri kuwa yeye bado bikra ndo we ukafikiri kuwa ameku-feel? Sijaelewa!
Yaani ye anafikiri labda demu alitaka jamaa ajifanye Tomaso atesti kama bikra ipo,

Kifupi demu alikua anataka jamaa amtokee thru topic ya Bikra
 
mwambie huamini unataka kuhakikisha, uingie nae room umalize.
 

we ujasiri wa kuongea nae mambo ya bikra uliutoa wapi?
 
mmezoeana na pia ni rafiki
hiyo ndio sababu coz kama rafiki
yupo huru kukwambia chochote
hapo utakua umewaza kua anakupenda kimahaba lol!

 
hahaha... ivi dunia hii bado kuna walevi wa bikira... bikira yake we inakuhusu nini... kua mwanaume wa kweli kama unampenda mwambie ila kama unapenda iyo bikira we ni mbulula...
 
U ar xo funny jst bcoz amekuambia ana bikra umeona anakupenda je angekuambia amevunjwa hiyo bikira ungexmaj?
 
Leo nimewekwa njia panda msichana flan tumezoeana wewe sema siyo kima penzi ila. Leo kanitamkia anayo bikira yake. Wewe kama mdau unasemaje maana mimi nimebakia kudua kulikoni kafikia hatua hiyo yakuniweka. Wazi
Sasa kama bikira ni ya kwake inahusiana vipi na wewe?
 
Mwambie ajitunze ili wenzio wamgegede na ya Nyuma au huwez mwambie ani PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…