MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,051
- 6,387
Wajameni nimeona nimtetee kidogo bi mkubwa kwani wengi wanahoji kwamba kama yeye ni mpinzani wa kweli na hata alijitosa kugombea urais ingawa kura hazikutosha kwanini amekubali hicho cheo wakati hata mteuzi wake alishajiapiza hadi na kuongea kilugha kabisa kwamba ndani ya "gavamenti" yake hatakanyaga mpinzani....! Au pengine labda anaonekana mpinzani kwa nje tu lakini ndani mwake kila kitu ni kijani-manjano..? Ah sijui mie, ila najaribu kuwaza tu kwa hii akili yangu ndogo.
Sasa hebu tuongee ukweli hata ingekuwa ni wewe kwa mfano utaanzia wapi kuukataa huo mdude hapo mwanawane...? mi nimewaza tu!
Sasa hebu tuongee ukweli hata ingekuwa ni wewe kwa mfano utaanzia wapi kuukataa huo mdude hapo mwanawane...? mi nimewaza tu!