Hivi ushawahi gundua hili?

Hivi ushawahi gundua hili?

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,451
Hivi umeshawahi gundua kuwa
yule usiyempenda au ambaye
huna hisia nae ndiye anaekupenda
na kukujali balaa....

Ila
unayempenda wewe Ndio
anaringa utafikiri ameshushwa
toka mbinguni...

Hivyo unajikuta tu huna namna... Unaishi na mtu vile basi tu uliyempenda hana hata hisia na wewe.....
 
Ndivyo ilivyo na mwanamke ukiwa nae kwenye uchumba na akawa anakupenda kweli ila ukaanza mzingua mkiachana huyo utakae mpata utajuta kumuacha wa kwanza
Imekuwa kama kanuni sasa
 
Ndivyo ilivyo na mwanamke ukiwa nae kwenye uchumba na akawa anakupenda kweli ila ukaanza mzingua mkiachana huyo utakae mpata utajuta kumuacha wa kwanza
Imekuwa kam kanuni sasa
 
Love my categories 1/1,0/1,0/0.1/1 ni rare kutokea.nyingi ni 0/1.ni jumlisha yote.nikapata jibu ndoa ni ibada (spiritual thing). Logical qns
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom