Iko hivi ; unaweza kwenda shambani saa 12 asubuhi na mwingine akaenda 2 asubuhi na wote mkarudi saa sita Lkn ukiangalia work efficiencies huyu wa saa mbili ikawa kubwa kuliko wa 12 japo ndie alie tanguliaUCHUMBA Hauna guarantee ya kumjua mtu wako ....mara nyingi nimeona watu wanakaa miaka migi kwenye uchumba halafu wakiingia kwenye ndoa inavunjika ndani ya muda mfupi....hii ni nimejionea mwenyewe zaidi ya mara moja
Na Mimi naongezea Ni ngumu Sana sanaaaaaa labda mwanaume awe karogwa.Binafsi nilishindwa kabisa kuishi na mwanamke wangu sababu ya tabia hizo .....kauli ya eti 'wanawake tuishi nao kwa akili ' ..haina mashiko kabisa kwa wanawake kama hawa.......sana sana ukitaka kuishi naye ukubali kuwa fala au mshenzi mshenzi kabisa .....
Mimi nilikataa kuwa fala au mshenzi sababu kwa jeuri na dharau za mwanamke yule ningeishia jela na yeye futi sita chini halafu watoto wangekosa wazazi wote wawili....ni bora niliamua kuachana naye ili tulee watoto tu wote tukiwa wazima......ni ngumu sana kuishi na wanawake kama hawa labda uwe marioo huna ishu kabisa