Hivi unawezaje Ku'date na watu wa ajabu?

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Hiviii..Em ngoja kwanza..!!Unajua apa duniani Kunae maraia wanaushujaa wa kiduanzi kinyama...

Hivi una'date na Pisi ata haikutumii text kukuuliza Baby umekula?inamaana iyo pisi inajua ina'date na jiwe au?jiwe haligongi diko so yawezekana nawewe ni jiwe.!!Mambo za kimbanga sana hizi...

Mimi hapa nilipo mamsi wangu kashantumia texts zaidi ya 100 na sijajibu ata moko,ikabidi anitumie vocha ya buku ten,lakini bado sijamjibu ikabidi anipigie kuniuliza kama nimeipata..nimepokea nikamsikilizaa then nikakata bila kumjibu chochote alaf nikamtumia text moko2 "Imefika" alaf akajibu "Poa Baby wangu,naona hauko Sawa pumzika then ntakutafuta",,Umeona Chaliangu sasa Sisi Waenduru mamanzi tunao'date nao?...

Mamiloox hata hakutafuti Bablai alaf unakaa unamuwaaza!!wala usimuwaze ni Mpumbavu tu.!!,,Unam'text saiv anajibu kesho kutwa usiku asa ndo nini?Bora iyo moneygram uliyonunua sms za kum'text uyo ngiri ungenunua zako K-Vant ukapiga na nyeto ukalala...
@NgarenaroBoy.
 
Mimi naogeshwa kabsaa full mahabaa yaan naona dunia yote yangu
tapatalk_1591379075690.jpeg
 
Mwanzoni wa Safari huwa mzuri, mnenda sawa but Safar inavozidi kuwa ndefu zinaanza Mara pancha, mnusurike kugongwa, Sasa hapo unajiuliza hii Safari tafika kweli, Kama una moyo mwepes na gar haieleweki unashuka, inapanda gar nyingine Safar inaendelea...
Hivyo hivyo katka mahusiano mwanzoni ni mzuri ila katkat ndo kunavikwazo Sasa kuamua uendelee au uache ni mtu binafs na hizo tabia huja baadae.
 
Mzeebaba nyuma ya keyboard mnajifanya wagumu Ila mkizinguliwa na mademu zenu mnalia Kama watoto wa formtwo na mgogoro unaupeleka Hadi kwa mama ausolve!

Kuwa real tu bablai!
 
Mwanzoni wa Safari huwa mzuri, mnenda sawa but Safar inavozidi kuwa ndefu zinaanza Mara pancha, mnusurike kugongwa, Sasa hapo unajiuliza hii Safari tafika kweli, Kama una moyo mwepes na gar haieleweki unashuka, inapanda gar nyingine Safar inaendelea...
Hivyo hivyo katka mahusiano mwanzoni ni mzuri ila katkat ndo kunavikwazo Sasa kuamua uendelee au uache ni mtu binafs na hizo tabia huja baadae.
Sahihi.
 
Hiviii..Em ngoja kwanza..!!Unajua apa duniani Kunae maraia wanaushujaa wa kiduanzi kinyama...

Hivi una'date na Pisi ata haikutumii text kukuuliza Baby umekula?inamaana iyo pisi inajua ina'date na jiwe au?jiwe haligongi diko so yawezekana nawewe ni jiwe.!!Mambo za kimbanga sana hizi...

Mimi hapa nilipo mamsi wangu kashantumia texts zaidi ya 100 na sijajibu ata moko,ikabidi anitumie vocha ya buku ten,lakini bado sijamjibu ikabidi anipigie kuniuliza kama nimeipata..nimepokea nikamsikilizaa then nikakata bila kumjibu chochote alaf nikamtumia text moko2 "Imefika" alaf akajibu "Poa Baby wangu,naona hauko Sawa pumzika then ntakutafuta",,Umeona Chaliangu sasa Sisi Waenduru mamanzi tunao'date nao?...

Mamiloox hata hakutafuti Bablai alaf unakaa unamuwaaza!!wala usimuwaze ni Mpumbavu tu.!!,,Unam'text saiv anajibu kesho kutwa usiku asa ndo nini?Bora iyo moneygram uliyonunua sms za kum'text uyo ngiri ungenunua zako K-Vant ukapiga na nyeto ukalala...
@NgarenaroBoy.
Bitoz la ngarenaro halijui hata limeandika nini!!! Ujinga ujinga tuuuu!!
Wana kijiji. bana shida kweli
 
Back
Top Bottom