Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,924
- 4,521
Habari zenu Wana JF
Sababu za kuundwa UN ni kuzuia vita na madhara yake Duniani
Lakini Cha kushangaza watu wanaanzisha vita vya makusudi na UN ipo kimya tu hili kidogo linashangaza
Vita vya Ukraine na Urusi UN wameshindwa kuizuia isitokee pia wameshindwa kuingilia kati na kuamua
Vita vya Gaza na Israel UN walishindwa kuvizuia visitokee na wakashindwa kuingilia kati kuvimaliza
Vita vya Iran na Israel UN walishindwa kuvizuia visitokee na wakashindwa kuvimaliza
Marekani ameivamia Venezuela kapindua utawala na Sasa anaiba mafuta ya Venezuela UN wapo kimya
Na Sasa Marekani anataka kuanzisha Vita na Irani Ili apate nafasi ya kuiba mafuta , Gasi na Uranium ya Irani UN wapo kimya
Maana yake ni kwamba vita vya Dunia vinakaribia maana UN kazi ya kuzuia vita duniani imewashinda