baba_la_kichaga
Senior Member
- May 15, 2017
- 127
- 54
Hivi kumbe ni nchi nzima?Leo Hii Tumempokea Rais Wa Egypt Sasa Huo Umeme Kutwa Nzima Unakatika
We upo nchi gani umeme bei poa hivyo? mbona mimi siku zote nanunua umeme wa sh.10,000/=unit 28.1?Habari za jioni wandugu! Napenda kuelewa je Tanesco wamepandisha bei ya umeme kwani nyuma kidogo umeme wa 8,000 nilikuwa napata unit 65 ila leo nimenunua nimepa unit 57 kwa bei hiyohiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia napataga kama wewe,We upo nchi gani umeme bei poa hivyo? mbona mimi siku zote nanunua umeme wa sh.10,000/=unit 28.1?
Inategemea na matumizi (Tarif)We upo nchi gani umeme bei poa hivyo? mbona mimi siku zote nanunua umeme wa sh.10,000/=unit 28.1?
We upo nchi gani umeme bei poa hivyo? mbona mimi siku zote nanunua umeme wa sh.10,000/=unit 28.1?
Umeme wa 8000 unit 65?Habari za jioni wandugu! Napenda kuelewa je Tanesco wamepandisha bei ya umeme kwani nyuma kidogo umeme wa 8,000 nilikuwa napata unit 65 ila leo nimenunua nimepa unit 57 kwa bei hiyohiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi Nzima Mbele Ya Mgeni 😀😀🙄Hivi kumbe ni nchi nzima?
sent from my Tecno W3
Umeme wa REA 9000 ni unit 75We upo nchi gani umeme bei poa hivyo? mbona mimi siku zote nanunua umeme wa sh.10,000/=unit 28.1?
We upo nchi gani umeme bei poa hivyo? mbona mimi siku zote nanunua umeme wa sh.10,000/=unit 28.1?Habari za jioni wandugu! Napenda kuelewa je Tanesco wamepandisha bei ya umeme kwani nyuma kidogo umeme wa 8,000 nilikuwa napata unit 65 ila leo nimenunua nimepa unit 57 kwa bei hiyohiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unatumia unit 73 kwa kila mwezi unaweza nunua Umeme Wa elf9 na ukapata hizo unit,ila kama utatumia zaidi ya hizo kwa mwezi tegemea kuuziwa unit moja kwa mia4 ..ukinunua wa elf10 unapewa unit28+makatoMi pia napataga kama wewe,
Sasa hii ya Units 65 kwa Tshs 8,000/= labda kuna tariff ingine hatuijui, perhaps kwa wale watumiaji wa Units kidogo
Basi Tanesco wapuuzi sana, yaani tunaotumia sana tunalipa sana badala ya kulipa kidogo, mi natumia Unit zisizopungua 160 kwa mwezi, wangenipunguzia basi jamani.Kuna madaraja yanapangwa kutokana na matumizi yako (tarrif) yanaitwa lipo kuanzia 1 mpaka 4 kama sikosei wewe upo One yaani unatumia zaidi ya units 74 kwa mwezi
Na huyu alikuwa anapata karibia 70 inamaana alikuwa anamatumizi madogo anachobidi aangalie matumizi yake mwanzo na sasa maana ukizidi naona wanakuhamisha kimyakimya hawa jamaa