Hivi ukikutana na dume zima limebeba mdoli unalielewaje?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,898
15,555
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
 
....kama ni ndugu yako inauma! Mungu nipitishie mbali.....au ni umagharibi???

Hizi tv hizi!!!....ndio maana Mwalimu alizikataa
 
Mimi nimeshanunua midoli Mara mbili na kumpelekea mwanangu, sidhani Kama kubeba mdoli ni ishara inayojitosheleza, mbona mashoga ni wengi kuliko, kukuta na wanaume wamebeba mdoli.
 
Mimi nimeshanunua midoli Mara mbili na kumpelekea mwanangu, sidhani Kama kubeba mdoli ni ishara inayojitosheleza, mbona mashoga ni wengi kuliko, kukuta na wanaume wamebeba mdoli.
Kuwapa midoli watoto ni kuwafanya akili zao ziendane na midoli...
Mm nilipiga marufuku kuleta midoli nyumban kwangu
 
Hilo lijanaume litakuwa limetumwa na mwanamke wa darisalama.Ungeinogesha hiyo habar kwa kutupia na lipicha lake
 
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Huenda anapeleka Hospital,au anapelekea mtoto wake,kwani kwa ulivyomuona unamuhisi sio mwanamme kamili yani amekaa kishoga au? Kwanini nimesema hivyo Thu ilikua Birthday yangu mumewangu kwenye zawadi alizoniletea moja wapo ilikua na mdoli kubwa hua napendaaa sanaaa,sasa huenda anapeleka kwa mtu wake wa karibu..na labda hana gari yakuweka
ilibidi abebe na atembee nalo....
 
mimi naachana nae, wala simfatilii hayo ni maisha yake yeye mwenyewe sio yangu
 
Atakuwa ni yule mwanaume kila sa kumi na mbili namuaona maeneo ya sarenda pale anakimbia huku kabinua kitako na mikono anairusha kimadoido... Anapenda kuvaa vinguo vya kijivu ha ha ha
 
Back
Top Bottom