mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,251
Nimetafakari sana leo baada ya kuangalia lineup ya timu ya Ufaransa na robo tatu ya wachezaji ni weusi tiii ,sasa nimejiuliza sana hivi hiyo nchi hakuna wazungu kabisa maana nina hakika jambo kama hilo kamwe haliwezi kutokea Afrika kwa timu nzima kuwa wazungu tupu.Nimejiuliza tu mimi siyo baguzi jeusi.