MLIMBWANJI
Member
- Jan 12, 2013
- 42
- 86
Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa?
Mbona kuna jamaaa alijitolea kuwaaminisha uchawi upo na hukwendaNi wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa?
Wenyewe wanasema hata ukiwa na Mganga wa moto vipi kama udhulumu mtu dawa hazifanyi kaziUmekurupuka,
Unafikiri Samia hana waganga wamoto ?
Mkuu hao wenyewe ni kina nani?Wenyewe wanasema hata ukiwa na Mganga wa moto vipi kama udhulumu mtu dawa hazifanyi kazi
Wataalamu wa hizo mamboMkuu hao wenyewe ni kina nani?
rekebisha heading basiNi wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa?