Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
,,,,,,habari zenu wakuu??,,,, . nazan nyote ni wazima wa afya ningependa kupata ufafanuz kutoka kwenu hivi kwanini TCU capacity wameweka chache yaani si kwa diploma holder wala form six leaver je wanahofia mikopo au kupunguza wasomi???. . kwa mfn mm chuo nachoomba capacity 550 chaguo la mwanzo wapo 2000 hivi kweli tutatusua????.
Wanafkiri kila mtu anategemea mikopo...sasa hao diploma wakati wanasoma aliwapa mikopo. Hii nchi bana tatizoWanataka mpungue idadi mana wanabana bajeti fungu halitoshelezi
watufanta tuumize vichwa kweliWanafkiri kila mtu anategemea mikopo...sasa hao diploma wakati wanasoma aliwapa mikopo. Hii nchi bana tatizo
nacte na tcu walikuwa majip wanasemaHivi hili suala lililotangazwa la kuondoa wanafunzi wasio na sifa vyuoni wanazungumzia sifa zipi?? Maana wapo waliopitia mfumo wa CAS ya TCU na NACTE..... naombeni ufafanuzi