Hivi Tundu Lissu akishinda kesi itakuwaje?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
1762800977548.png

Kimsingi, katika kesi ya 'uhaini' inayomkabili Tundu Lissu ni kama imeilemea serikali. Je, mahakama itaendelea kuwa nyumba ndogo ya wauaji au itajikomboa na kutenda haki na haki ikaonekana inatendeka?

Je, kama Tundu Lissu atashinda, itakuwaje hasa tukizingatia kuwa, kwa sasa, taifa letu limegawanywa na watawala vipofu na viziwi majizi na mafisi ya kunuka?
 
Lissu anaweza kupatikana na hatia ya makosa ya uhaini ila hatanyongwa, atapewa msamaha wa Rais, kwa njia hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote tena ya uongozi.
 
Mnapima upepo kwa wananchi ili mjue jinsi ya kuamua?

Sasa iko hivi,

Akishinda mtalala na viatu

Akishindwa pia mtalala na viatu
Nani hao watalala na viatu mwanangu au unadhani nami ni chawa wakati najulikana msimamo wangu usioyumba? Umenionea. Acha hii au nawe ni wale wale wanaohaha kutaka kutupaka maviii yao baada ya kulikoroga?
 
Lissu anaweza kupatikana na hatia ya makosa ya uhaini ila hatanyongwa, atapewa msamaha wa Rais, kwa njia hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote tena ya uongozi.
Sasa wakitaka kuchochea moto kabla December 9 Lissu wafanye icho ulichokisema hapa Tanzania haiwezekani kutosha Lissu anaushawishi mkubwa ndani na Je ya nchi hii inaweza kugeuja Somali Lissu anapendwa sana watu wanasikilizia kuona serikali litafika wapi na maigizo yao siku wanatangaza Hukumu ndo yanaweza kua maandamano ambayo hajawahi kutokea suala la Polepole sio kwamba limepoa serikali safari hii haina nguvu ya Umma
 
Lissu atapatikana na kosa gani wakati 'makosaa' yanayomkabili ni ya kupikwa na maimla na mazwazwa wetu?
 
Lissu anaweza kupatikana na hatia ya makosa ya uhaini ila hatanyongwa, atapewa msamaha wa Rais, kwa njia hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote tena ya uongozi.
Kwa ushahidi gani?
 
Lissu anaweza kupatikana na hatia ya makosa ya uhaini ila hatanyongwa, atapewa msamaha wa Rais, kwa njia hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote tena ya uongozi.
Kwa katiba hii? Unamjua Lissu au unamsikia? Yule anakata Rufaa hata miaka 30 ijayo

Huyu mtu ana neema zake
 
View attachment 3499983
Kimsingi, katika kesi ya 'uhaini' inayomkabili Tundu Lissu ni kama imeilemea serikali. Je, mahakama itaendelea kuwa nyumba ndogo ya wauaji au itajikomboa na kutenda haki na haki ikaonekana inatendeka?

Je, kama Tundu Lissu atashinda, itakuwaje hasa tukizingatia kuwa, kwa sasa, taifa letu limegawanywa na watawala vipofu na viziwi majizi na mafisi ya kunuka?
Uchaguzi ushapita, walikua wanamuhifadhi tu
 
Back
Top Bottom