Hivi tukisema Mo kamtuma Manara kuongea alicho ongea tutakosa?

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
414
310
Ikumbukwe baada ya Hans Pop kuwashutumu baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango Mo alisema hakuna kiongozi yeyote atakae ruhusiwa kuingelea Simba bila kupata ruhusa yake.

Je, yaliomo yamo,na hili limo Mohammed? Kama hajamtuma basi awajibishewe.
 
Jamaa kamuonea wivu manara kwa deal anazopata kupitia mgongo wa simba itakua alimtuma aseme wanatakiwa mashabik wa simba tu kamgeuka tena
 
Mo hata Kama awe vipi na Simba yake,hawezi kumruhusu Manara aseme ujinga ule.
 
Duh yani Dewji amuonee wivu Manara tena sababu ni dili za matangazo? Kweli tuna safari ndefu.
Ndoivo

Ukitaka kuamini kuwa mo anachukia manara awe kwenye matangazo ni pale akipewa shavu na Azam atangaze bidhaa zake.

Sasa huyu dewji kisa ndo bossi ye anataka atangaziwe na yeye tena bure.
 
Bangusilo huyo.

Watamtumia sana lakini mwishowe lazima wamtose Bahraini.
 
Duh yani Dewji amuonee wivu Manara tena sababu ni dili za matangazo? Kweli tuna safari ndefu.
Lakn umesikia manara alichozungumza Leo kupitia E FM ni waz mo anatumia nguvu kubwa kumshusha manara na manara kasema ipo siku atasema yote
 
Mashabiki wa yanga tujitokeze kwa wingi na jezi zetu.Mpira ni burudani tunaongeza Sikh za kuishi kwa kuburudisha nafsi na burudani yetu ni kuhakikisha simba anapigwa uzalendo ni timu ya taifa
 
Back
Top Bottom