KAHAMA MANISPAA
Member
- Jul 20, 2015
- 15
- 15
Mpaka sasa hivi siasa ya tanzania inanichanganya sana,watanzania tumegawanyika kiuchama na kwa mbali nauona ukanda na ukabila.Nimejaribu kufanya tafiti kwenye mikutano ya siasa na kugundua kwamba,ikiwa ccm wataweka kiongozi mzuri,Wanachedema watasema hapana huyo....hatufai hata kidogo maana ni walewale.
Pia CHADEMA...wakiweka kiongozi mzuri utasikia wanaccm wanasema hafai hata kama anafaa. Jambo hili limehubiriwa sana na viongozi wakisiasa.
Pia kuna ukanda,tunaambiwa kwamba mkitaka mjifunze maendeleo basi nendeni Arusha au kilimanjaro ndiko maendeleo ya kweli yaliko na mimi nikahoji nafsi yangu,je ni kwanini huko na si huku kwetu?
Nikakugundua kuwa tangu Hayati mwalimu aliwapa watu wa kaskazini utawala wa juu kwenye wizara mbalimbali wakiwemo mawaziri..makatibu..wakurugenzi nikajihoji why?
Kwasababu walisoma mapema!!nikahoji tena ina maana kanda zingine hawakusoma?nikapa majibu ya kwamba walisoma ila hawakupewa nafasi. Hivyo mpaka sasa nimeona baadhi ya viongozi wanasema"msiwachague wasukuma kwani hawana maamuzi magumu!"je yule msukuma wa usukumani na yule mwenye nasaba hiyo atajisikiaje?
Je wewe mchaga ukienda usukumani utachaguliwa? hebu jitafakari kwanza wewe mwanasiasa unaposimama kwenye majukwaa acha ukabila,Waambie watanzania kwamba,wachague kiongozi bora wafundishe namna ya kumtambua kiongozi bora..tuache uchama,tuache ukabila,tuache ukanda.
Tuipende nchi yetu kwa ajili ya vizazi vyetu na vijavyo nawaacha kwa salamu hii
"TANZANIA HOYEEE"ahsanteni sana.