inembe JF-Expert Member Joined Sep 7, 2015 Posts 306 Reaction score 189 Feb 19, 2017 #61 kama hii ni kweli basi kuanzia boss wao wote wasweke ndani kwa kudhalilisha mamlaka halali ya serikali
kama hii ni kweli basi kuanzia boss wao wote wasweke ndani kwa kudhalilisha mamlaka halali ya serikali
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Feb 19, 2017 #62 alibakari said: Taiga=taifa No=ni Click to expand... Asante mkuu
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,144 Reaction score 6,910 Feb 19, 2017 Thread starter #63 Leo ni zamu ya TANROADS!.. Hii kitu haikubaliki popote pale,Rekebisheni haraka sana ama sivyo mtalipa 30,000Tsh inawahusu. Attachments C5CVnBKWAAEK1QE.jpg 80.6 KB · Views: 42
Leo ni zamu ya TANROADS!.. Hii kitu haikubaliki popote pale,Rekebisheni haraka sana ama sivyo mtalipa 30,000Tsh inawahusu.
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,250 Reaction score 7,108 Feb 19, 2017 #64 Malyenge said: Hilo bango kuna mtu alikwangua usiku wa kuamkia jana akabadilisha maneno. Si kwamba lilikosewa bali ni watu wenye zile tabia za ajabu. Linesharekebishwa mchana wa leo. Click to expand... Sio kweli mkuu! Hilo Bango lipo hivyo toka limeandikwa!
Malyenge said: Hilo bango kuna mtu alikwangua usiku wa kuamkia jana akabadilisha maneno. Si kwamba lilikosewa bali ni watu wenye zile tabia za ajabu. Linesharekebishwa mchana wa leo. Click to expand... Sio kweli mkuu! Hilo Bango lipo hivyo toka limeandikwa!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,264 Feb 19, 2017 #65 Kawaida sana Tanzania