Hivi TRA hawalijui hili bango?

Tatizo lako hasa ni lipi?

Kiingereza na Kiswahili ni lugha za kiofisi za Tanzania...
 
Hilo bango kuna mtu alikwangua usiku wa kuamkia jana akabadilisha maneno. Si kwamba lilikosewa bali ni watu wenye zile tabia za ajabu. Linesharekebishwa mchana wa leo.
Kweli jina lako linamaanisha ulichoandika....kukwanguliwa ndo ipoteze maana yake?kama kukwanguliwa ni hapo juu kwenye neno ofisi.....je na hapo chini badala ya revenue
revenge! Kweli ww ni malyenge pole ....
 
Bila shaka alifanYa hvYo kala cha senda kanoge nasikia huko kuna joint balaaa au za igagala no 5 wanaloweka kwenYe mawese kabisa ukiroll joint unapaaa
 
Hata kama imekwanguliwa, bado kuna makosa ya kiuandishi. Ofisi ya mapato tafsiri yake siyo revenue authority office, bali ni ofisi ya mamlaka ya mapato
 
Nahisi wazungu wengi huko wakifika hiyo sehemu wanabadili uelekeo Revenge tena!
 
me naomba kujua hilo bango ni jipya au la muda mrefu...........
 
Bila shaka alifanYa hvYo kala cha senda kanoge nasikia huko kuna joint balaaa au za igagala no 5 wanaloweka kwenYe mawese kabisa ukiroll joint unapaaa
Mmh mkuu cha Nsenda kanoge cha mtoto, huyo angekula cha Usoke mlimani yaani hilo bango ndo angeenda na kulisimika uelekeo wa Jamhuri by night kabisaa.
 
Haya ni baadhi ya maajabu ya dunia yanayopatikana Tanzania tu,Hivi kuna sababu yoyote ya kutumia lugha ya kigeni wakati tuna lugha yetu?
View attachment 471540
Tanzania Revenge Authority=TRA.

Muandishi na aliye toa tenda lengo lao ni moja,maana hapo sio bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…