Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,018
Binafsi nashangazwa sna na nchi hii ya Tanzania! Taifa linalojidai kuwa Lugha yake ya Taifa ni Kiswahili.
Mikataba English, Makabrasha Ofisini English, Kadi za Matibabu Eng, kila kitu Eng.
Nazidi kuishangaa hii Mamalaka ya Hali ya Hewa Tz. Taarifa yake ina lenga kila mtanzania hasa anae jua kusoma na kuandika.
Na Taarifa hizi husambazwa kwa haraka sn kupitia kurasa mbalimbali. Mf za vyombo vya habari kama ITV, EATV, JAMII FORUMS, na magroup ya Whatsapp, Instagram, na fb.
JPM mwenye hii Ngeli haipendi balaaaa
. Iweje mumuandikie Mkulima wa Katavi ngeli?
Ebu taasisi zote za serikali, TRA, UTUMISHI, TANROADS, POLICE, TMA, badilikeni. Ebu acheni ushamba wa akina Wema Sepetu!!
Mikataba English, Makabrasha Ofisini English, Kadi za Matibabu Eng, kila kitu Eng.
Nazidi kuishangaa hii Mamalaka ya Hali ya Hewa Tz. Taarifa yake ina lenga kila mtanzania hasa anae jua kusoma na kuandika.
Na Taarifa hizi husambazwa kwa haraka sn kupitia kurasa mbalimbali. Mf za vyombo vya habari kama ITV, EATV, JAMII FORUMS, na magroup ya Whatsapp, Instagram, na fb.
JPM mwenye hii Ngeli haipendi balaaaa
. Iweje mumuandikie Mkulima wa Katavi ngeli?Ebu taasisi zote za serikali, TRA, UTUMISHI, TANROADS, POLICE, TMA, badilikeni. Ebu acheni ushamba wa akina Wema Sepetu!!