Unatakiwa ujiamn, hakuna aliedharau watumiaji wa tecno ila nimeuliza nieleweshwe, kwani kuuliza siku hizi hakuruhusiwi? Ukiuliza tu kufahamishwa ndio watu waseme umedharau.
Jambo la pili, hata samsung wana saa ambazo zinaweza kupiga na kupokea sim, kupiga picha na kufanya kazi zote za mawasiliano ila primary function yake ni kuonyesha wakati, functionalities za simu ni secondary,
Swali langu bado liko pale pale, tecno ni simu au camera?