Hivi Tecno ni simu au ni Camera?

Unatakiwa ujiamn, hakuna aliedharau watumiaji wa tecno ila nimeuliza nieleweshwe, kwani kuuliza siku hizi hakuruhusiwi? Ukiuliza tu kufahamishwa ndio watu waseme umedharau.

Jambo la pili, hata samsung wana saa ambazo zinaweza kupiga na kupokea sim, kupiga picha na kufanya kazi zote za mawasiliano ila primary function yake ni kuonyesha wakati, functionalities za simu ni secondary,

Swali langu bado liko pale pale, tecno ni simu au camera?
 
Oyooooooo
Wewe Umesema Hutumii Simu Za Tecno Sasa Hata Tukikujibu Itakusaidia Nini?. Watumia Tecno Ndio Tunajua Kama Tunacho kinunua Ni Simu Au Camera.
Wewe Baki Na Samsung Yako Sisi Acha Tuendelee Na Tecno Zetu.


Team Tecno Tukutane Hapa.
 
kuna kampuni zipo nchini kukusanya mitaji ili kwenda kwao.sizani kama tecno utaikuta nchi za ulaya.angalia kuanzia simu zao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849]
Wewe Umesema Hutumii Simu Za Tecno Sasa Hata Tukikujibu Itakusaidia Nini?. Watumia Tecno Ndio Tunajua Kama Tunacho kinunua Ni Simu Au Camera.
Wewe Baki Na Samsung Yako Sisi Acha Tuendelee Na Tecno Zetu.


Team Tecno Tukutane Hapa.
 
... Ni fridge.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
huyo mtu aliyepigwa picha na Tecno ndivyo alivyo
hebu leteni picha ingine ya huyohuyo mtu km ni original au amepigwa na simu ingine
acheni ujuha mnauliza swali la chooni wakati tundu mnaliona?
Hivi Tecno ni simu au ni Camera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…