Yaani tumeshindwa hata kuiba teknolojia ya kutengeneza vijiti vya kuchokoa meno?Nilikuwa nacheki hizi movie zinazohusiana na makanpuni ya tech yalivyoanza
Kuna hii The social network, hii inahusu jinsi facebook ilivyoanza. Inaonekana Mark alipewa hela na jamaa fulani awatengenezee website ya mawasiliano. Kaiba idea katengeneza yake...
Haha hahaha Mshana Jr, mi ningekuwa nayajua hayo Mambo ningewakomesha ATCL, ningekuwa napaki ungo wangu Kariakoo, Mwanza nauli elfu kumi tu, dakika tano tunatua.Ushirikina pekee ndio teknolojia giza ambayo kuiba ujuzi wake unahitaji hesabu kali na za juu mno
Hahahaha kuna mafundi wapo daily mizigo inafika destination bila kulipa hata ndururuYaani tumeshindwa hata kuiba teknolojia ya kutengeneza vijiti vya kuchokoa meno?
Haha hahaha Mshana Jr, mi ningekuwa nayajua hayo Mambo ningewakomesha ATCL, ningekuwa napaki ungo wangu Kariakoo, Mwanza nauli elfu kumi tu, dakika tano tunatua.
Kwa siku ningekuwa nalaza hela nzuri kabisa.
Goma likitoka Mwanza linapiga route ya Moshi/Arusha, likirudi linarushwa Mbeya.
hahahahahhaYaani tumeshindwa hata kuiba teknolojia ya kutengeneza vijiti vya kuchokoa meno?
Correction kidogo.Kuna hii The social network, hii inahusu jinsi facebook ilivyoanza. Inaonekana Mark alipewa hela na jamaa fulani awatengenezee website ya mawasiliano. Kaiba idea katengeneza yake.
Ku copy Kupo sana tu, ila issue moja uhakika kama huna ujuzi hata ukiiba huwezi kuendeleza.Nilikuwa nacheki hizi movie zinazohusiana na makanpuni ya tech yalivyoanza
Kuna hii The social network, hii inahusu jinsi facebook ilivyoanza. Inaonekana Mark alipewa hela na jamaa fulani awatengenezee website ya mawasiliano. Kaiba idea katengeneza yake.
Kuna The pirate of silicon valley, hii inahusu story ya Microsoft na Apple. Kama jina lenyewe linavyosema humi kila mtu ni haramia.
Kuna hii comedy series inaitwa Sillicon Valley humo kila mtu ni mwizi wa technolijia ya mwingine.
Bado tuje kwenye tech Giants za China, karibu zote ni copy za makampuni ya Marekani na inasemwa kuwa kampuni za China zinaongoza kwa kuibiana tech.
Inaonekana kwenye tech industry huwezi survive bila kuwa mwizi.
Sahihi chiefKu copy Kupo sana tu, ila issue moja uhakika kama huna ujuzi hata ukiiba huwezi kuendeleza.
Chukulia mfano Mzuri hapa kwetu kuna imani kwamba hela ya Ujambazi ama ya madini hazikai, ukipata unatumia inaisha, hii imani ipo sababu hawa wanaopata hizi hela sio wajasiriamali, ndio maana wanashindwa kuziendeleza.
Kwenye Tech hawa kina Job, Bill Gate, Zuck na wengine, cha kwanza kabisa walikuwa na vision na walizaliwa kama wajasiriamali, japo walicopy na kufanya maovu mengi ila walishikilia maono yao.
Job toka mwanzo yeye ni mtu wa muonekano, alikua anajali muonekano kuliko functionality, Apple mpaka Leo ni luxury Brand, wanajali zaidi fashions kuliko features.
Bill gate Alikuwa mtu wa productivity, alileta programs za kufanya Computer itumike makazini na mpaka Leo Microsoft ndio wapo vizuri eneo hili.
Hivyo unakuta ni kweli wameiga ideas, ila wao pia ni watu ambao walikuwa vizuri kwenye field zao.
Na UI ni ngumu sana kupatent.