Makosa mawili hayafuti kosa, hivyo basi kuna uwezekano wa hao kuja kunaswa kwenye uhakiki utakaofuatia. Kama alivyosema mkuu hapo juu-TCU watapitia tena wanafunzi wote walio kuwa registered wa mwaka wa kwanza. Madahara yake unajua ukinaswa watakutoa tu na kama una mkopo basi utadaiwa. Hapo tunasema jipime mwenyewe, tafakari na amua. Kwenye ajira pia vyeti huhakikiwa siku hizi kabla ya usaili na kuingizwa kwenye malipo-sioni usalama hapo unatoka wapi.