Ni kweli tena nimeliona tangazo wamama wanaitana kumsikiliza mama mwingine anayeongea kwenye ilo tangazo mwisho anasema rais ataenda tandale rais anapanda daladala huyo ni chizi.alafu wale wamama wanacheka.katika hili star tv mmechemka.TCRA HAWAONI NI VIPOFU.MUHUKUMU WA HAKI NI MUNGU TU.POLENI TCRA KWA UTUMWA MAANA MNAJUA TANGAZO LINATUSI NA MNAKAA KIMYA SABABU MPO KATIKA KONGWA LA UTUMWA.MTUMWA AJIAMULII BALI ANAAMULIWA LA KUFANYA.Hebu taja tusi mojawapo.
kila mwana ukawa hadi mgombea wenu analia kuonewa
wewe utasafishwa mavi yako wakati wa kutoka roho yako maana utakunya tu.povu kubwaa siku alipojinyea mlikula hayo mavi yake kumsafisha
Andika maneno wanayotukana tukuelewe.
Lowassa fisadi hapatikura za watanzania
Kuna watu utadhani walizaliwa kinyume na maumbile!povu kubwaa siku alipojinyea mlikula hayo mavi yake kumsafisha
mkuu hata mimi nimejiuliza swali kama hilo hawa jamaa sio kabisa,lakini uzuri kesho tutawaonesha jeuri ya nguvu ya umma
CCM ni Chama wasiosoma na wazee! Ni kwa mujibu wa TWAWEZA, Sikushangai na uliyoyaandika humu.
Umenichekesha sana. Hivi sielewi Lowasa alishawahi kumbe kuwa waziri mkuu. Kwa serikali ipi? Serikali hii wanayosema haijafanya lolote kwa miaka 54. Kama alikuwemo mule ndani ya serikali na hakufanya lolote kwa nini apewe heshima ya aliyewahi kuwa waziri mkuu. Ni zerooo tu. Kama yule mwenzake mr Zero Sumaye. Kiukwelu kabisa tunapaswa kuwaita mazero wote kwa sababu wanakiri hawakufanya kitu wao kama mawaziri wakuu walivyokuwa serikalini.Kuna CD wamemrekodi mama mmoja akimsema LOWASSA alipoenda Tandale, anamwambia eti ni Rais au matatizo! Kwali unamwita mtu aliyewahi kua waziri mkuu matatizo tena mkanda umetengenezwa na chombo cha habari kikubwa kabisa! Startv ni hovyo kabisa!