Hivi Tanga ina laana?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,042
Reaction score
104,553
Nchi nzima inanyesha mvua, huku jua limekaza kama kiangazi. Kuna nini? Zanzibar inanyesha, Dar inanyesha, Moro inanyesha, Arusha/Moshi inanyesha.
Tanga wadigo mmefanyaje?
 
Nchi nzima inanyesha mvua, huku jua limekaza kama kiangazi. Kuna nini? Zanzibar inanyesha, Dar inanyesha, Moro inanyesha, Arusha/Moshi inanyesha.
Tanga wadigo mmefanyaje?
pale pahali pako na laana
 
Ilaanie CCM. Yaani kumekauka utadghani siyo msimu wa mvua! Mji mzima ni waganga!
He he he he
CCM wameharibu sana hii nchi.

Wanatambikia mno yale madude yao ili kubaki madarakani, ndio maana nchi mvua zinakata.
 
Dsm kwenyewe mvua hamna imenyesha siku 1 tu
 
Tatizo Tanga matumizi ya mvua ni tofauti na Mungu alivyokusudia,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…