Tokea Jana Maeneo Yetu Ya Kitunda Dar, Huduma Ya Upatikanaji Wa Umeme Ni Shida Tupu!!!! Ilianza Jana Saa 2.50 Usiku, Ukarejea Saa 4.48 Usiku, Lkn Saa 12 Asbh Tu Umekata Hadi Saa 1 Usiku!! Baada Ya Hapo Imekuwa Ni Kata Rudisha Za Ya Mara 3!! Hivi Sasa Tunasikilizia Tu!!! Sasa Sijui Tatizo Ni Nini Tena, Mvua Ndio Hizi Na Gesi Bwerere!!!!