Wakuu bado namtafakari huyu Mzee!
(1) Ana kiburi cha kauli, utadhani ndie Raisi.
(2) Raisi alikutana na wajumbe wa vyama mbalimbali vya siasa
na wakakubaliana kuhusu nini kiendelee kuhusu mchakato
wa katiba unaoendeleà, Cha ajabu Sitta naye akatoka na
tamko na msimamo wake!.
(3) Leo kura zimepigwa kwa mujibu wa sheria, Waliokubali
wamekubali na waliokataa wamekataa kwa haki yao,
Cha kushangaza huyuhuyu Sitta anaratibu vitisho dhidi ya
wajumbe hao waliokataa!!
NAULIZA, Udikteta huu wa Sitta Kapewa na nani?