Wakati chama na kundi lake walipokuwa Simba wachezaji walikuwa hawana nidhamu,chama alionyesha mabega,walipoondoka wote wenye viburi na kujiona wao ni zaidi ya timu Simba ilianza kujipata,hata kama viwango bado ila wanajituma na matokeo yanapatikana,nadhani unakumbuka tulipokuwa na kina Inonga,Chama,Miquison waliporejea simba toka uarabuni waliona wameiweza timu,wameondoka na kuachwa simba imechangamka. Bundi kahamia Yanga,Aziz K na chama wamekutana wote wajuaji na wachezaji wengi wameshajaa kiburi,matokeo unayaona..Morison kuna vitu serious anajifanya kichaa unakuta timu inatukanwa hata kwa ajili yake.