EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
I think it depends.
First on the level of commitment, uelewa wa jamaa na kama anajali au la. Wale ambao mahusiano yao sio exclusive, kwa wale ambao jamaa sio mwelewa au hajali hayo maongezi yanakosa maana.
Wewe kama wewe unaweza ukawa wa kwanza kumuuliza mwenzako?
Why not? Au unadhani kuwa women should continue to treat periods as a female only topic?