Unataka jumkaba au kumpiga kirungu?Hivi atakuwa anavuna kiasi gani kwa wiki ????
Gent wako UEFA champions League ujue, hata kwenye 16 bora wameingiaNi Genk ya nane, ila kati ya Gent na Genk, pamoja na Genk kuanzishwa hivi karibuni, ila wana mafanikio zaidi ya Gent! Gent ilianzishwa miaka ya 1880s huko, wakati Genk ni ya 1980s tu! Ila wameshashinda first division mara 3, mara ya mwisho ni 2011. Gent wameshinda first division mara moja ambayo ni 2015. Genk ndio timu iliyowatoa kina Benteke, De Bruyne na Courtois! Hivyo Samata kapata timu.
Yap!Gent wako UEFA champions League ujue, hata kwenye 16 bora wameingia
Genk ambayo anaenda Samata hawako UCL, ni Gent ndi wako wanacheza na VfL Wolfsburg.Akienda Genk tutaweza kumuona kwny hatua 16 ya UCL February akicheza