Huyu jamaa anajua huo wimbo ni shida. Changanya nyimbo za ben pol hazioni ndani kwa kipenda roho.Wakuu, Leo katika pitapita zangu huko you tube nimekutana na video ya msanii Rama dee inaitwa - Kipenda roho
Aisee ni bonge moja ya rnb song
Kinacho nishangaza ni kwanini haikupewa na mpaka sasa haipewi air time ya kutosha kama video nyingine?
Basi hata ile kuzungumziwa kwenye social network sijawahi kusikia!
Tatizo nini kwa msanii huyu?
Nimeshindwa tu kuweka link ya hiyo video hapa ila ni mziki mzuri sana
Ndio kitu kilichonisukuma kuuliza huyu mtu aliwakosea nini watanzania? Kama yupo humu awaombe radhi aliowakosea video nzuri kama
ile haikufaa kuishia pale!!
Karibuni tujadili na maoni vilevile yanaruhusiwa
Aisee kweli kabisa mkuu! nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibuHuyu jamaa anajua huo wimbo ni shida. Changanya nyimbo za ben pol hazioni ndani kwa kipenda roho.
Ila ndiyo hivyo watz wengi kama hawaoni na wengine hawamjui.
Hapo ndipo ujue mziki ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri.
Rama Dee ni Mwanamuziki,
Hao wengine ni wasanii tu
Hilo lipo wazi, na pia Diamond ni mfanya biasharaDiamond wako leo hii nae ni msanii tu
We unaamini uchawi unaweza kukufanya utoboe..wengi wa watu maarufu na wasanii maarufu huwa wanatumia kimbolo uchawi ndo maana unaona kuna wasanii (waimbaji wa mziki) au wachezaji ni wakali lakini hata kujulikana hawajulikani
Siyo u team yani hii ni kawaida duniani kote... kuna waimbaji wakali ambao watu wanawakubari lakini siyo mashuhuri wala hawaingizi pesa nyingi ka wengine.Uteam wenu unawavunja moyo wasanii wengine.
Kwa rnb bongo wakwanza ni rama dee anakuja steve then qchila then bele 9 alafu ndo hao wakwenu hata hawjulikan wanaimba aina gani ya mziki