Hivi Rais wetu amemkosea nini Mungu? Kila kukicha lawama tuuu...hamchoki?!!!



kuna dokta mmoja alikuwa mkuu wa mkoa morogoro alikuwa anatoa ushauri kama huu ukuu ukuu wa mkoa ulipoisha hakwenda kulima bali aliuliza jamii alicho mkosea rais badala yakwenda kulima kama alivyokuwa anawashauri wengine
 
Kwani mtu akimkosea Mungu ndiyo analaumiwa kila siku?
 
Alisema anataka watu waishi kama mashetan sasa ndio apambane na mashetani alio watengeneza
 
Huyu c ndie malaika isabuni namba kwanza baadae miaka mitano ndio utajua kama ni malaika au jpm ibilisi alie letwa kuja hesabu namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…