MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Ni kwamba yeye hakuwa chaguo la vigogo wa chama chake! Tuliona kwenye mapendekezo ya 5 bora jina lake lilikua mbali kabisa hata ya wale kina mama.
Ina maana isingekua ule mkutano mkuu wa chama jina lake lisingepita, yeye ni chaguo la mkutano mkuu wa chama na sio wakubwa wa chama chake maana walishaliweka jina lake mbali, walikua na sababu ya kuliweka jina lake mbali wasijipendekeze kwake sasa.
Magufuli jali sana Wananchi wa kawaida na sio vigogo wa chama ambao walikwisha ficha jina lako mbali.
Maana kama hatua ya mwisho ya kupendekeza jina la Mgombea ingeishia kamati kuu leo hii Rais angekua mwingine.