assadsyria3 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 6,909 Reaction score 4,057 Mar 26, 2017 Thread starter #21 kusocialize kunapunguza stress
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,320 Reaction score 5,390 Mar 26, 2017 #22 mapenzi ni ya wawili
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,295 Mar 26, 2017 #23 chaliifrancisco said: Ana socialize na bashite Click to expand... Bashite kamteka akili raisi wetu hafurukuti kabisa.
chaliifrancisco said: Ana socialize na bashite Click to expand... Bashite kamteka akili raisi wetu hafurukuti kabisa.
simba45 mkali JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,980 Reaction score 1,881 Mar 26, 2017 #24 Himawari said: Anatakiwa kukumbushwa kuwa urais sio vita!! Namuona ana mrengo wa ki-antisocial zaidi hivyo ni sociopath!! Click to expand... Tatizo ni exposure. Mtu akitawalwa na roho na akili za kimasikini na matokeo yake ndio yanakuwa kama haya. Na ndio maana nchi za wenzetu hawawezi kukupa madaraka kama wewe mwenyewe hauna mafanikio makubwa na kuwa na ukwasi wa kutupwa na wa kiahalali.
Himawari said: Anatakiwa kukumbushwa kuwa urais sio vita!! Namuona ana mrengo wa ki-antisocial zaidi hivyo ni sociopath!! Click to expand... Tatizo ni exposure. Mtu akitawalwa na roho na akili za kimasikini na matokeo yake ndio yanakuwa kama haya. Na ndio maana nchi za wenzetu hawawezi kukupa madaraka kama wewe mwenyewe hauna mafanikio makubwa na kuwa na ukwasi wa kutupwa na wa kiahalali.
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 5,960 Reaction score 11,432 Mar 26, 2017 #25 Watu wengine ukiwaruhusu wa socialize watakuzoea vibaya ni bora wasocialize but not to that extent.
Mr. Bigman JF-Expert Member Joined May 7, 2011 Posts 2,560 Reaction score 1,301 Mar 26, 2017 #26 Haa! haa! haaa! Malaika ni mpweke mno sasa hivi. Nyerere aliwezaga hata kucheza bao na wazee wenzie ikulu wakati wa jioni, ila malaika,mhh!!!
Haa! haa! haaa! Malaika ni mpweke mno sasa hivi. Nyerere aliwezaga hata kucheza bao na wazee wenzie ikulu wakati wa jioni, ila malaika,mhh!!!
Mr. Bigman JF-Expert Member Joined May 7, 2011 Posts 2,560 Reaction score 1,301 Mar 26, 2017 #27 screpa said: Ndio anajamiiana Click to expand... Na nani?
assadsyria3 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 6,909 Reaction score 4,057 Mar 27, 2017 Thread starter #28 tanzagiza