Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,416
- 4,872
swali la msingi Je Rais anaingilia mihimili mingine?Njia unazozitumia kupata habari za bungeni ndizo anazitumia na yeye kupata habari hizo.
Hutaki unaacha.
ungejibu swali kwa kurejea kauli ya raisi 'unazima tv unaenda mahari pengine" ndo swali huwa anatizama wapi iyo live hadi kuzima/kuhamia pengine?Njia unazozitumia kupata habari za bungeni ndizo anazitumia na yeye kupata habari hizo.
Hutaki unaacha.
kile kipindi cha wanaume wambea??Shilawadu Ijumaa saa tatu kamili au saa nne kamili nadhani, huko alikosema ni ulimi umeteleza tuu
Hivi ni waulize wapinzani kushughulikiwa mlikuelewaje? Nita kushughulikia ndani ya bunge- yaani utakapo leta hoja zako nitakupinga nikiwa na vielelezo vyenye uhakika na hapo nitakuwa nime kushughulikia! Ukija nje ya bunge ukashindwa kufuata sheria nitakushughulikia kama alivyo shugulikiwa Mh. mbowe baada ya kukaidi dhamana yake! hivi mnataka mfafanuliwe kila kitu? Naona na Lissu uelewa unakuwa hivyo hivyo au mnajifanya hamnazo?leo siku ya sheria ,mh rais kwenye hotuba yake namnukuu "mimi nimejitahidi sana katika uongozi wangu kutokuingilia muhimili wowote, sijaingilia bunge hata wakizungumza kule , Saa nyingine Bungeni wanakutukana unaishia kuzima TV unaenda mahali pengine "
nimetafakari nikapata nadharia zifuatazo
1. Je ni kweli Rais haingilii mihimili mingine?
2. hivi Rais anatazama bunge kwenye kituo gani cha Luninga?
3. hivi ni nanialiyesema wapinzani washughulikiwe ndani ya bunge na wakitoka nje tumuache yeye ashughulike?
Salary Slip Mwanahabari Huru kama mnamajibu naomba mnitag please
huyu jamaa ni wakuhurumiwa sana, mara nyingi vitu anavyoongea sidhani kama anaandaliwa hotuba..Mbunge gani amemtukana Raisi ktk vikao vya bunge?
..Je, Spika alichukua hatua gani baada ya mbunge kumtukana Raisi?
..Mbunge gani amemtukana Raisi ktk vikao vya bunge?
..Je, Spika alichukua hatua gani baada ya mbunge kumtukana Raisi?
Kushughulikiwa alikokuongelea ni kama alivyofanyiwa Mawazo na Lissu to name a few, acha upumbavu.Hivi ni waulize wapinzani kushughulikiwa mlikuelewaje? Nita kushughulikia ndani ya bunge- yaani utakapo leta hoja zako nitakupinga nikiwa na vielelezo vyenye uhakika na hapo nitakuwa nime kushughulikia! Ukija nje ya bunge ukashindwa kufuata sheria nitakushughulikia kama alivyo shugulikiwa Mh. mbowe baada ya kukaidi dhamana yake! hivi mnataka mfafanuliwe kila kitu? Naona na Lissu uelewa unakuwa hivyo hivyo au mnajifanya hamnazo?
Huyo ni mnafiki si ni yeye aliyesema 'kuna mhimili uliyojichimbia chini zaidi'??
Nape amejiuzulu uenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya maliasili na utalii kwa sababu ya kuingiliwa na Serikali kwenye maamuzi ya kamati.
Kwa kifupi jamaa wameanza kumnyoosha, mirija imekata anaweweseka na kuanza kuidanganya jamii.
Jana pia alisema kuna freedom of expression ambayo sio kweli.
umejibu swali kwa kurejea kauli ya raisi 'unazima tv unaenda mahari pengine" ndo swali huwa anatizama wapi iyo live hadi kuzima/kuhamia pengine.
ujaelewa swali mkuu
Sasa kama hawaonyeshi matukio yote huo ulive uko wapi?Mbona bunge liko live Tbc1 siju zote, na pia online kwenye website ya bunge. Sema hawaoneshi baadhi ya matukio.
Sent using Jamii Forums mobile app