Hivi Rais anangalia bunge TV station gani?

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,416
4,866
leo siku ya sheria ,mh rais kwenye hotuba yake namnukuu "mimi nimejitahidi sana katika uongozi wangu kutokuingilia muhimili wowote, sijaingilia bunge hata wakizungumza kule , Saa nyingine Bungeni wanakutukana unaishia kuzima TV unaenda mahali pengine "

nimetafakari nikapata nadharia zifuatazo

1. Je ni kweli Rais haingilii mihimili mingine?
2. hivi Rais anatazama bunge kwenye kituo gani cha Luninga?
3. hivi ni nanialiyesema wapinzani washughulikiwe ndani ya bunge na wakitoka nje tumuache yeye ashughulike?

Salary Slip Mwanahabari Huru kama mnamajibu naomba mnitag please
 
Njia unazozitumia kupata habari za bungeni ndizo anazitumia na yeye kupata habari hizo.
Hutaki unaacha.
 
leo siku ya sheria ,mh rais kwenye hotuba yake namnukuu "mimi nimejitahidi sana katika uongozi wangu kutokuingilia muhimili wowote, sijaingilia bunge hata wakizungumza kule , Saa nyingine Bungeni wanakutukana unaishia kuzima TV unaenda mahali pengine "

nimetafakari nikapata nadharia zifuatazo

1. Je ni kweli Rais haingilii mihimili mingine?
2. hivi Rais anatazama bunge kwenye kituo gani cha Luninga?
3. hivi ni nanialiyesema wapinzani washughulikiwe ndani ya bunge na wakitoka nje tumuache yeye ashughulike?

Salary Slip Mwanahabari Huru kama mnamajibu naomba mnitag please
Hivi ni waulize wapinzani kushughulikiwa mlikuelewaje? Nita kushughulikia ndani ya bunge- yaani utakapo leta hoja zako nitakupinga nikiwa na vielelezo vyenye uhakika na hapo nitakuwa nime kushughulikia! Ukija nje ya bunge ukashindwa kufuata sheria nitakushughulikia kama alivyo shugulikiwa Mh. mbowe baada ya kukaidi dhamana yake! hivi mnataka mfafanuliwe kila kitu? Naona na Lissu uelewa unakuwa hivyo hivyo au mnajifanya hamnazo?
 
Huyo ni mnafiki si ni yeye aliyesema 'kuna mhimili uliojichimbia chini zaidi'??
Nape amejiuzulu uenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya maliasili na utalii kwa sababu ya kuingiliwa na Serikali kwenye maamuzi ya kamati.
Kwa kifupi jamaa wameanza kumnyoosha, mirija imekata anaweweseka na kuanza kuidanganya jamii.
Jana pia alisema kuna freedom of expression ambayo sio kweli.
 
Hivi ni waulize wapinzani kushughulikiwa mlikuelewaje? Nita kushughulikia ndani ya bunge- yaani utakapo leta hoja zako nitakupinga nikiwa na vielelezo vyenye uhakika na hapo nitakuwa nime kushughulikia! Ukija nje ya bunge ukashindwa kufuata sheria nitakushughulikia kama alivyo shugulikiwa Mh. mbowe baada ya kukaidi dhamana yake! hivi mnataka mfafanuliwe kila kitu? Naona na Lissu uelewa unakuwa hivyo hivyo au mnajifanya hamnazo?
Kushughulikiwa alikokuongelea ni kama alivyofanyiwa Mawazo na Lissu to name a few, acha upumbavu.
Wangekuwa wanaweza kujibu kwa vielelezo wasingepiga watu risasi
Kwanini hajatoa vielelezo za alikopeleka 2.4T??
Manunuzi yanayofanywa na serikali kuanzia hayo mandege, uwanja wa ndege wa chatto n.k yameidhinishwa na bunge??
Kwanini bunge alihoji kama halijaingiliwa??
Punguani kweli wewe.
 
Huyo ni mnafiki si ni yeye aliyesema 'kuna mhimili uliyojichimbia chini zaidi'??
Nape amejiuzulu uenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya maliasili na utalii kwa sababu ya kuingiliwa na Serikali kwenye maamuzi ya kamati.
Kwa kifupi jamaa wameanza kumnyoosha, mirija imekata anaweweseka na kuanza kuidanganya jamii.
Jana pia alisema kuna freedom of expression ambayo sio kweli.

Chatu ni wa kuogopwa ,anakuwinda kimya kimya na kukumeza.
 
Rais anatazama bunge live, kuna vifaa wamemkonektia vinampa ability kuweza kucheki bunge live.
Si unajua pale kuna wanahabari wa bunge pamoja na mafundi mitambo wao ambao hurekodi kila tukia tangu kinapoanza kikao mpaka kinamalizika kwaajili ya kumbukumbu na kupata reference za kikao
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom