Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,415
- 4,869
leo siku ya sheria ,mh rais kwenye hotuba yake namnukuu "mimi nimejitahidi sana katika uongozi wangu kutokuingilia muhimili wowote, sijaingilia bunge hata wakizungumza kule , Saa nyingine Bungeni wanakutukana unaishia kuzima TV unaenda mahali pengine "
nimetafakari nikapata nadharia zifuatazo
1. Je ni kweli Rais haingilii mihimili mingine?
2. hivi Rais anatazama bunge kwenye kituo gani cha Luninga?
3. hivi ni nanialiyesema wapinzani washughulikiwe ndani ya bunge na wakitoka nje tumuache yeye ashughulike?
Salary Slip Mwanahabari Huru kama mnamajibu naomba mnitag please