Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Teh teh .you made up my day!Amekosea baada ya kuona nywele zina rangi nyeusi akafikiri ni Waarabu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Wewe hakuna vita hapo ni mbwembwe tu mnyoa kiduku kashamwambia yeye yuko tayari kwa vita so kama USA anajiami arushe hata kokoto tu kwenye ardhi ya wanyoa viduku walianzishe
Akimdunda mtaanza tena kulia nakumbuka hata sadamu mlikua mnampa bichwa hivi hivNimeamini marekani propaganda tuu!!! Maneno mengi huku kidume NK anaongea kwa vitendo!!!!