Heshima kwenu wakuu,, naombeni msaada wa kujua kwamba hizo kampuni juu zina flight ya kwenda mbeya..
Maana naangalia website zao hazina data nzuri..
Na kama hawana ni kampuni gani inayopeleka ndege mbeya na nauli zake zinakwendaje?
Maana nina harusi ya kamanda wangu next month na siwezi kukosa.. Na kwa kutumia usafiri wa basi itaniwia vigumu as naenda na b mkubwa na ana tatizo la kuvimba miguu akikaa muda mrefu kwenye kiti bila kutembea tembea...