Inasemekana pendo la kweli halifi, na ndivyo ilivyonitokea kwangu baada ya kutoswa na mdada mmoja tuliepenana kiasi cha kutoelezeka,lakini kwa sababu mbalimbali ikiwemo wazazi tamaa na kikubwa hali yangu ya kiuchumi aliniacha miaka miwili sasa, sa kwa vile nilivyompenda imeniwia vigumu kumsahau kiasi haipiti siku sijamkumbuka nimesha jutia na kujutia nimeshajifanyisha kama jambo hili hijawai kutokea lakini haijanisaidia kumsahau, nimejaribu kutafuta mwingine lakini zaidi ya kunichukulia viela vyangu hakuna aliekubali lakini kati ya hao ambao tokea mwaka juzi nimeshapoteza laki nne, sijawahi kumuona msichana yoyote aliefanana nae. Sijui nyie wakubwa muliwezaje kuliua pendo la kwanza kwenye mahusiano yenu? Kila la heri.
Kwanini usifanye mambo mengine ya maana zaidi na kuacha mambo ya mapenzi yaende yenyewe? Bible inasema hivi
Wimbo bora. 2:7
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
Wimbo bora 8:4
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwani kuyachochea mapenzi, au kuyaamsha, Hata yatakapoona vema?
Walioaswa ni mabinti na mi sio binti na alipokua anasema hivyo alikua anamaana yake na ndio maana akawa point mabint na sio vajana,na aliposema mpaka yatakavyoona vema, na ndio yameena vyema kwangu japo sio binti.
Utakua hujalilisha misumu ya ukweli..... Litile sumu ya panya kama vijifuko 10 ama 15 uone kama litapona, kama likipona nijulishe nikupe nyingine ya ukweli.kweli bwana hata mimi limeshindwa kufa japo ni muda sasa
We ndo ulimpenda au mlipendana!
m​kuu pendael24, you waste an enormous amount of emotion energy strugling with facts. yamekuwa na inabidi yawe ili jambo lingine liweze kuwa. mfute kichwani kwa kufanya affirmation fulani, like, the past is over, i like myself, reciting the affirmation to your self each time .amini hivyo na itakuwa hivyo na waweza enjoy life comfortably