ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,191
- 9,670
kaka hatujuani ila namshukuru Mungu shida ndogo ndogo sina.Ila siwezi hata shule za kayumba kusomesha mtoto wa mwanamke na baba yake yupo hicho ni kihelehele.Bora hata usomeshe yatima.Hivi kweli unahangaika kusomesha mtoto wakati baba yake yuko huko na mwanamke mwingine na anakula bata ww unajipa majukumu huo ufala sifanyi ww.MUNGU alivyo fundi hata pesa ya kusomesha watoto wako Halali utakosa..Kwa moyo na namna hii ni ngumu kufanikiwa ndugu yangu